bangua bongo

  1.  "Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamechagia fasihi simulizi kuwa na sura mpya",Jadili kauli hii kwa mifano halisi.
  2. "Fasihi simulizi ina tanzu za watoto na watu wazima",Chagua tanzu mbili za watoto na tanzu tatu za watu wazima kisha eleza faida na hasara kwa jamii inayohusika.
  3. Jadili  aina mbalimbali za wahusika watumiwao katika fasihi simulizi.
  4. Fasihi simulizi   hutumia zaidi wahusika wasio binadamu kwa malengo, fafanua malengo hayo kwa hoja madhubuti.
  5. Fasihi simulizi hubadilika  badilika kama kinyonga, jadili kauli  hii kwa hoja mbali mbali.
    Blogger Comment

2 comments: