Umuhimu/faida za majigambo

                       Faida
  • hukuza ushujaa katika jamii.
  • hukuza na kuendeleza mila na desturi za jamii.
  • huburudisha jamii.
  • huimarisha utendaji kazi katika jamii.
  • kukuza,humarisha fani ya kutamba,lugha na kujieleza.
  • kujenga uaminifu katika jamii.
                     Hasara 
  • hukuza na kuendeleza ubinafsi.
  • mkusanyiko wa hadhira hutumia fedha.
  • huleta chuki, uhasama, fitina katka jamii.
  • husababisha unafiki
Share on Google Plus

About Se

mwiza peter ni mwalimu ambaye alipata taaluma hii chuo cha ualimu morogoro(motco) kwa sasa nipo mwanza Tanzania ni miongoni mwa vijana ambao lengo langu nikukufanya wewe kupata elimu kuhusu somo la kiswahili na kuongeza ufaulu wa somo hili. tupo mwanza Tanzania.karibu mwaa tunawapenda wote.elimu ni ukombozi wa maisha chukua hatua
    Blogger Comment

3 comments: