Vyanzo vya utata

       Utata ni hali ya  tungo kuwaza kuelewaka kwa mbili au zaidi.
Mfano: ile nyumba ya wangeni:
             - kwa ajili ya wageni.
             -inamilikiwa na wageni.

vyanzo vya utata katika tungo
  • Neno kuwa na maana zaidi ya moja.
                   mf: endesha.
  • Kutozingatia taratibu za uandishi.
                  mf: Tulikuta Juma na rafiki yake, Ali.
  • Kutumia maneno bila kuzingatia mazingiraau muktadha.
                mf : yupi kamtuma nani.

Share on Google Plus

About Se

mwiza peter ni mwalimu ambaye alipata taaluma hii chuo cha ualimu morogoro(motco) kwa sasa nipo mwanza Tanzania ni miongoni mwa vijana ambao lengo langu nikukufanya wewe kupata elimu kuhusu somo la kiswahili na kuongeza ufaulu wa somo hili. tupo mwanza Tanzania.karibu mwaa tunawapenda wote.elimu ni ukombozi wa maisha chukua hatua
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment