- Akijikinga a-ki-ji-king-a
- 1 2 3 4 5
- 1 - kiambishi awali kipatanishi kinaonyesha nafasi ya tatu umoja.
- 2 - Kiambishi awali rejeshi cha mtenda.
- 3 - Kiambishi awali rejeshi cha mtenda.
- 4 - Mzizi.
- 5 - Kiambishi tamati kinaonyesha utimilifu wa tendo.
- Wameachiliana wa-me-achili-an-a.
- 1 2 3 4 5
- 1 - kiambishi awali kipatanishi nafasi ya tatu wingi.
- 2 - Kiambishi awali cha hali kitimilifu.
- 3 - mzizi
- 4 - kiambishi tamati cha kutendeana.
- 5 - kiambishi tamati kijenzi kinaonyesha utimilifu wa tendo.
- Kitakachapatikana Ki-ta-ka-cho-pa-ti-ka-na.
- 1 2 3 4 5 6 7 8
- 1- kiambishi awali kipatanishi cha kitu.
- 2- kiambishi awali cha wakati ujao.
- 3 - kiambishi awali rejeshi cha kitendwa.
- 4 - kiambishi awali rejeshi cha kitendwa.
- 5 - mzizi
- 6 -kiambishi tamati cha utendaka.
- 7 - kiambishi tamati cha kutendeana.
- 8 -kiambishi tamati kionyesha utimilifu.
- Uliyembembeleza a-li-ye-m-bembelez -a
- 1 2 3 4 5 6
- 1 -kiambishi awali kipatanishi nafsi ya pili umoja
- 2 -kiambishi awali cha wakati uliopita.
- 3 -kiambishi awali rejeshi cha mtenda.
- 4 -kiambishi awali rejeshi cha mtenda.
- 5 -mzizi.
- 6 -kiambishi tamati kioneshi utimili wa tendo.
- Amefungua A -me-fungu-a
- 1 2 3 4
- 1 - kiambishi awali kipatanishi nafasi ya tatu umoja.
- 2 -kiambishi awali cha hali timilifu.
- 3 - mzizi
- 4 - kiambishi tamati kinaonyesha utimilifu wa tendo.
- Msichokijua M-si-cho-ki-ju-a
- 1 2 3 4 5 6
- 1 - kiambishi awali kipatanishi cha nafsi ya pili wingi.
- 2 - kiambishiawali kikanushi.
- 3- kiambishi awali rejeshi cha watenda.
- 4- kiambishi awali rejeshi sha kitu.
- 5- mzizi.
- 6 - kiambishi tamati kinaonyesha utimilifu.
Katika namba 1 mofimu ya pili inadokeza hali ya masharti (ki)
ReplyDelete