Fasihi simulizi ni aina ya sanaa inayowasilishwa kwa kutegemea masimulizi ya mdomo na hurithishwa toka kizazi kimoja hadi kizazi kingine.fasihi hii kwa muda mrefu imekuwa ikihifadhiwa kwa njia ya kichwa lakini kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia huhifadhiwa pia katika maandishi,vinasa n.k
- Kukosekana au kutokuwepo kwa fanani ambaye huifanya fasihi hii iwe hai zaidi.
- Hadhira haitakuwepo hai kwani haitashirikiana na fanani aliyeibuni kazi hiyo.
- Haitakuwa na hali ya utendaji, hivyo vitendo havitaonekana na kutokana na hali hii haitakuwa na uhai.
- Haitakuwa na hali ya ushiriki kati ya hadhira na fanani.
- Itakuwa ni mali ya watu wachache hasa wale wajuao kusoma
ReplyDeleteNashukuru nimefurahi nimepata mafunzo mazuri sana nashukuru jaman