Faida za utani na hasara zake

         Faida:
  • kutoa maadili na mafunzo.
  • kuimarisha umoja na mshikamano.
  • kuhimiza ujasiri na juhudi katika maisha.
  • kuhimiza upendo katika maisha.
  • hukosoana na kurekebishana.
  • hukuza mila na desturi.
  • huburudisha.

        Hasara:

  • husababisha ugomvi katika jamii.
  • huleta hasara ya kuchukuliana vitu bila malipo mfano mifugo.
  • huvunja heshima miongoni mwa wahusika.
  • kuchelewesha kazi ktk jamii.
Share on Google Plus

About Se

mwiza peter ni mwalimu ambaye alipata taaluma hii chuo cha ualimu morogoro(motco) kwa sasa nipo mwanza Tanzania ni miongoni mwa vijana ambao lengo langu nikukufanya wewe kupata elimu kuhusu somo la kiswahili na kuongeza ufaulu wa somo hili. tupo mwanza Tanzania.karibu mwaa tunawapenda wote.elimu ni ukombozi wa maisha chukua hatua
    Blogger Comment

1 comments: