Matatizo yanayoikabili fasihi simulizi

  


Hikifadhiziwa :
           kwenye kichwa:
  • Hupoteza kumbukumbu.
  • Kubadili mambo muhimu.
  • Kupoteza ukweli au kiini cha masimulizi.

           Kwenye maandishi:
  • Hakuna kuona vitendo.
  • Hakuna kusikia sauti
  • Hakuna  ushiriki kati ya fanani na hadhira.
  • Uhalisia wake hupungua.
  • Ni gharama .
           Kwenye Vinasa sauti, Video na Televisheni:
  •  Hakuna ushiriki kati ya fanani na hadhira.
  • uhalisia hupungua.
  • ni aghali sana .
  • matendo si halisi.

Share on Google Plus

About Se

mwiza peter ni mwalimu ambaye alipata taaluma hii chuo cha ualimu morogoro(motco) kwa sasa nipo mwanza Tanzania ni miongoni mwa vijana ambao lengo langu nikukufanya wewe kupata elimu kuhusu somo la kiswahili na kuongeza ufaulu wa somo hili. tupo mwanza Tanzania.karibu mwaa tunawapenda wote.elimu ni ukombozi wa maisha chukua hatua
    Blogger Comment

1 comments: