Fasihi simulizi hubadilika kama kinyonga. jadili kauli hii kwa hoja mbalimbali

                  Fasihi simulizi ni fasihi inayo wasilishwa kwa njia ya masimulizi ambayo hutolewa  kwa mdomo na imekuwa ikirithishwa kizazi hadi kizazi. fasihi simulizi  huenda sambamba na maendeleo pamoja na mabadiliko ya jamii. Vilevile fasihi huenda sambamba na itikadi ya siasa au utawala katika jamii inayo husika. mabadiliko ya fasihi simulizi yaweza kuwekwa katika vipindi mbalimbali kama ifuatavyo:
             
                  Enzi za ujima ilikuwa ni fasihi ya upendo. Ilisisitiza umuhimu wa kazi ilizingatia haki na usawa, mgawanyo wa mapato kwa kila mtu kwa kuzingatia usawa . fasihi simulizi  ya kipindi ilihusu ushujaa. Tanzu mbalimbali za kishujaa kama vile nyimbo, majingambo, utani. ziliibuka ili kuisaidia jamii ya wakati huo  kupambana na mazingira.

                   Ezi za uhuru  ilikuwa ni yakusisitiza umuhimu wa kujitawala sisi wenyewe pamoja na kushingilia uhuru wetu uliopatikana. Fasihi hii iliwaunganisha wananchi ili kulinda nchi yao pamoja na kuendeleza uchumi wa nchi yetu iliyokuwa changa .

                 Ezi za azimio la arusha iliukuwa ya kusisitiza umuhimu wa ujenzi wa jamii hapa nchini. misemo malimbali kama vile naizesheni, misemo hii ililaani unyonyaji wa mtu kwa mtu .

                 Ezi za ukoloni iligawa watu katika watu katika matabaka .tanzu  mbalimlimbali za fasihi kama vile sanaa kama vile sanaa za maonyesho zilipingwa marufuku. dini ,elimu na serikali ni baadhi vilivyozuia ukuaji wa fasihi simulizi nchini .

Hitimisho: mabadiliko katika jamii ni ya muhimu , mabadiliko haya hutokea kulingana na mabadiliko yanayoikumba jamii .

 jiunge nasi bofya hapa ku-install application yetu swahiliform ili usisumbuke kuingia kwenye website yetu
Share on Google Plus

About Se

mwiza peter ni mwalimu ambaye alipata taaluma hii chuo cha ualimu morogoro(motco) kwa sasa nipo mwanza Tanzania ni miongoni mwa vijana ambao lengo langu nikukufanya wewe kupata elimu kuhusu somo la kiswahili na kuongeza ufaulu wa somo hili. tupo mwanza Tanzania.karibu mwaa tunawapenda wote.elimu ni ukombozi wa maisha chukua hatua
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment