- Kuwepo kwa hali ya utendaji ambapo hushirikisha hadhira na fanani.
- Kubadilika kulingana na wakati na mazingira.
- kuwepo kwa mtendaji ambaye ndiye mtendaji mkuu wa fasihi simulizi. huyu ndiye anayerithisha kazi za fasihi simulizi toka kizazi kimoja hadi kizazi kingine.
- kuwepo kwa hadhira .
- kuwepo kwa utegemezi katika fasihi simulizi hiufanya iwe hai.
- Huzaliwa, hukua na mwisho hufa kulingana na maendeleo ya jamii .
"Fasihi simulizi ni hai", kwa kutumia mifano fafanua uhai huo.
-
Fasihi simulizi ni utanzu mmojawapo wa fasihi ambazo ambazo huwasilishwa kwa njia ya mdomo na hurithishwa toka kizazi kimoja hadi kingine. tanzu za fasihi hii ni pamoja na ushairi,semi,sanaa za maonyesho na hadithi. mambo yanayoifanya fasihi simulizi iwe hai ni kama ifuatavyo:
ninaona ingekuwa vyema kma ungeeleza ingimfungua mwanafunzi na kumpa uelewa zaidi hasa huu wakati wa nyumbani
ReplyDeleteasante sana
ReplyDeleteBarikiwa
ReplyDeleteAsante
ReplyDelete