ni tungo yenye kitenzi , kitenzi hicho chaweza kuwa kinajitosheleza yaani kinaleta maana kamili iliyotarajiwa au hajitoshelezi yaani hakiwezi kuleta maana iliyo kusudiwa kikisimama pekee yake.
Aina za kishazi:
- Kishazi huru ni kishazi kinachotawaliwa na kitenzi kikuu ambacho kwa kawaida hutoa ujumbe kamili usiohitajika maelezo zaidi ya kukamilisha maana:
- Kishazi tegemezi (K/Tg) ni kishazi kinachotawaliwa na kitenzi kisaidizi ambacho kwa kawaida hutoa tabia yake hakikamilishi ujumbe uliokusudiwa bnli hutegemea kitenzi kikuu kutoa ujumbe uliokusudiwa.
0 comments:
Post a Comment